Google PlusRSS FeedEmail

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA UHAMASISHAJI NA UWEKEZAJI KANDA YA ZIWA JIJINI MWANZA.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa ufunguzi rasmi wa Kongamano la siku tatu la Uwekezaji na Uhamasishaji Kanda ya Ziwa, lililoanza leo Feb 13, 2014, jijini Mwanza. Picha na OMR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib 
Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa Udhibiti wa Ubora wa kampuni ya Vic Fish, Jacob Maisele, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho katika Kongamano la siku tatu la Uhamasishaji na Uwekezaji Kanda ya Ziwa, lililofunguliwa leo Feb 13, 2014 jijini Mwanza. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho katika Kongamano la siku tatu la Uhamasishaji na Uwekezaji Kanda ya Ziwa, lililofunguliwa leo Feb 13, 2014 jijini Mwanza. Picha na OMR
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia jambo alipotembelea katika Banda la Mjasiliamali Donatha Swai, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho katika Kongamano la siku tatu la Uhamasishaji na Uwekezaji Kanda ya Ziwa, lililofunguliwa leo Feb 13, 2014 jijini Mwanza. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwasnza, Eng. Evarist Ndikilo. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye ukumbi wa Mkutano huo katika Hoteli ya Malaika Beach Resort, kwa ajili ya kufungua Kongamano la siku tatu la Uhamasishaji na Uwekezaji Kanda ya Ziwa, lililofunguliwa leo Feb 13, 2014 jijini Mwanza. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB, wakiwa katika gari lao la 'Mobile Bank', katika maonyesho ya Kongamano la siku tatu la Uhamasishaji na Uwekezaji Kanda ya Ziwa, lililofunguliwa leo Feb 13, 2014 jijini Mwanza. Picha na OMR

This entry was posted in

Leave a Reply