DAR ES SALAAM, Tanzania
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimempongeza Rais Mstaafu wa Shirikisho la Mpira nchini (TFF) Leodegar Tenga kwa uongozi wa kupigiwa mfano uliowezesha kuleta mapinduzi katika mifumo wa mchezo wa soka nchini.
Pia imemtumia salam za pongezi Rais Mpya wa TFF, Jamal Malinzi, na Uongozi wake wote mpya wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) uliopatikana katika uchaguzi uliofanyika juzi, Oktoba 27, 2013 jijini Dar es Salaam.
Taarifa iliyotolewa jijini Dar es Salaam, leo, na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Nape Nnauye inasema Chama hicho kinaimani kubwa na Malinzi wa wenzake katika kuendeleza jitihada zilizoanzishwa na uongozi uliomaliza muda wake sanjari na kuibua mbinu mpya zitakazoboresha na kuleta mapinduzi makubwa ya soka nchini.
Katika taarifa hiyo, Nape ameuasa uongozi mpya kujiepusha na jitihada za kujiendeleza binafsi na badala yake uwekeze katika soka na kuepusha migogoro isiyo na tija katika mchezo huo ambao kwa sasa ndio unaopendwa na Watanzania wengi.
“Daima imani huzaa imani, hivyo imani ya CCM kwako (Malinzi) na kwa viongozi wenzako mliochaguliwa pamoja izae imani ya utumishi uliotukuka" alisema Nape.
Nape amesema Chama Cha Mapinduzi kinatambua kuwa migogoro imekuwa kwa sehemu kubwa chanzo cha kukwamisha sana maendeleo ya soka hapa nchini na hivyo kuwanyima Watanzania raha ambayo huitarajia kutoka kwenye mchezo huo na hasa pale timu zao zinapopata ushindi.
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
-
▼
2013
(633)
-
▼
October
(46)
- DIWANI MALEMBEKA AIPIGA JEKI TIMU YA SOKA YA UHURU FM
- BALOZI SEPETU AZIKWA ZANZIBAR LEO
- MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO KUJADILI MTANDAO ...
- CCM YAWAPONGEZA MALINZI, TENGA
- MAKADA WA CCM WANG'ARA KATIKA MAHAFALI YA 25 YA CH...
- MWENYEKITI WA CCM, RAIS JAKAYA KIKWETE AFUNGA MAFU...
- JK AWASILI MJINI DODOMA JIONI HII, KUFUNGA SEMINA ...
- SEMINA YA CCM KWA WATENDAJI NA VIONGOZI WAKE NGAZI...
- KAMANDA MSTAAFU WA POLISI AFARIKI DUNIA LEO
- JK AMLILIA DIWANI KATA YA NJOMBEA MAREHEMU LUPYANA
- SEMINA YA MAFUNZO KWA WATENDAJI NA VIONGOZI WA CCM...
- NAPE WAPIGA MSASA WATENDAJI NA VIONGOZI WA CCM UMU...
- SEMINA YA MAFUNZO KWA WATENDAJI NA VIONGOZI WA CCM...
- MANGULA AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA...
- ZIARA YA PINDA WA UJUMBE WAKE CHINA, LEO WAWASILI ...
- RAIS KIKWETE ALIPOZINDUA RASMI MKOA WA NJOMBEA
- SAKATA LA RUZUKU: NAPE ASEMA CCM IMEKAGULIWA NA HA...
- MBUNGE MAJI MAREFU ANAPODAIWA KUSAKWA KWA WIZI WA ...
- CCM YAMSHUKIA ZITTO KABWE
- CCM BLOG INAKUTAKIA EID EL HAJJ NJEMA
- KATIBA MPYA: RAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI WA V...
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA SIKU ...
- UFUNGUZI TAWI LA CCM KIJITONYAMA WAFANYKIKA LEO
- MAREKANI WAMLILIA TAMBALIZENI
- TUNAKUKUMBUKA DAIMA
- NAPE ASHIRIKI MAZISHI YA TAMBALIZENI
- UFOO SARO APIGWA RISASI DAR ES SALAAM
- SALUM TAMBALIZENI AMEFARIKI DUNIA
- KUMBUKUMBU MIAKA 14 YA KIFO CHA MWALIMU NYERERE
- MWENYEKITI WA CCM, RAIS JAKAYA KIKWETE ALA CHAKULA...
- ZANU-PF: WAAFRIKA VIPUUZENI VYAMA VYA UPINZANI
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA KITAI...
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMJULIA HALI KAKA WA DKT...
- MKUTANO WA VYAMA VILIVYOKUWA VYA UKOMBOZI KUSINI M...
- VIONGOZI WA VYAMA VYA UKOMBOZI WATEMBELEA IHEMI
- NAIBU KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI MH. MWIGU...
- WAALIKWA WA MKUTANO WA SITA WA MAKATIBU WAKUU WA ...
- MAMA ASHA MSHUA ZIARANI NAMTUMBO
- UVCCM ZANZIBAR WAPONGEZWA KWA KUIMARISHA MICHEZO
- RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA RASMI KIWANDA CHA BAKH...
- MWENYEKITI WA CUF WILAYA YA MAFIA AMFAGILIA JK
- RAIS KIKWETE AZINDUA GATI LA MAFIA
- MAGAZETI LEO JUMATANO, OKTOBA 2, 2013
- CCM UINGEREZA WAANDAA MKUTANO MKUBWA OKTOBA 5, MWA...
- MTENDAJI KISHAPU, ADAIWA KUKWAPUA MAGUNIA 103 YA M...
- ZIARA YA NAIBU WAZIRI AMOS MAKALLA AFRIKA KUSINI
-
▼
October
(46)
LOVE LINKS
Powered by Blogger.