Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza mwanzini mwa siku ya tatu ya semina ya mafunzo kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, katika ukumbi wa Sekretarieti, Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Kushoto ni Katibu wa NEC, Oganaizesheni Mohamed Seif Khatib na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar), Vuai Ali Vuai.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akitoa mada kuhusu namna nzuri ya kuandaa mikutano, katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Washiriki wa semina ya mafunzo kwa watendaji na viongozi wa CCM, wakiwa wamefurika ukumbini katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe na Makatibu wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC), wakiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, kusikiliza mada iliyokuwa ikitolewa na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (hayupo pichani) katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na baadhi ya wajumbe, katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro (kulia, safu ya mbele)akifuatilia kwa makini mada iliyokuwa ikitolewa na Nape (hayupo pichani), katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Katibu wa CCM, Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, Kombo Kamote, akiongoza kuimba wimbo wa hamasa, katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Kulia kwake ni Katibu wa CCM, wilaya ya Kigoma mjini, Augustine Minja.
Baadhi ya wajumbe wakipitia ratiba, katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Mkuu wa Mafunzo ya taaluma makao makuu ya CCM, Hadija Faraji (kushoto), akiwa miongoni mwa jopo la sekretarieti, katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Baadhi ya wajumbe wakibadilishana mawazo, katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Sekretarieti ikiwa kazini, katika siku ya tatu ya semina ya mafunzo ya siku nne kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, leo Oktoba 23, 2013, Makao Makuu ya CCM mjini
Dodoma. Imetayarishwa na theNkoromo Blog
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
-
▼
2013
(633)
-
▼
October
(46)
- DIWANI MALEMBEKA AIPIGA JEKI TIMU YA SOKA YA UHURU FM
- BALOZI SEPETU AZIKWA ZANZIBAR LEO
- MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO KUJADILI MTANDAO ...
- CCM YAWAPONGEZA MALINZI, TENGA
- MAKADA WA CCM WANG'ARA KATIKA MAHAFALI YA 25 YA CH...
- MWENYEKITI WA CCM, RAIS JAKAYA KIKWETE AFUNGA MAFU...
- JK AWASILI MJINI DODOMA JIONI HII, KUFUNGA SEMINA ...
- SEMINA YA CCM KWA WATENDAJI NA VIONGOZI WAKE NGAZI...
- KAMANDA MSTAAFU WA POLISI AFARIKI DUNIA LEO
- JK AMLILIA DIWANI KATA YA NJOMBEA MAREHEMU LUPYANA
- SEMINA YA MAFUNZO KWA WATENDAJI NA VIONGOZI WA CCM...
- NAPE WAPIGA MSASA WATENDAJI NA VIONGOZI WA CCM UMU...
- SEMINA YA MAFUNZO KWA WATENDAJI NA VIONGOZI WA CCM...
- MANGULA AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA...
- ZIARA YA PINDA WA UJUMBE WAKE CHINA, LEO WAWASILI ...
- RAIS KIKWETE ALIPOZINDUA RASMI MKOA WA NJOMBEA
- SAKATA LA RUZUKU: NAPE ASEMA CCM IMEKAGULIWA NA HA...
- MBUNGE MAJI MAREFU ANAPODAIWA KUSAKWA KWA WIZI WA ...
- CCM YAMSHUKIA ZITTO KABWE
- CCM BLOG INAKUTAKIA EID EL HAJJ NJEMA
- KATIBA MPYA: RAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI WA V...
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA SIKU ...
- UFUNGUZI TAWI LA CCM KIJITONYAMA WAFANYKIKA LEO
- MAREKANI WAMLILIA TAMBALIZENI
- TUNAKUKUMBUKA DAIMA
- NAPE ASHIRIKI MAZISHI YA TAMBALIZENI
- UFOO SARO APIGWA RISASI DAR ES SALAAM
- SALUM TAMBALIZENI AMEFARIKI DUNIA
- KUMBUKUMBU MIAKA 14 YA KIFO CHA MWALIMU NYERERE
- MWENYEKITI WA CCM, RAIS JAKAYA KIKWETE ALA CHAKULA...
- ZANU-PF: WAAFRIKA VIPUUZENI VYAMA VYA UPINZANI
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA KITAI...
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMJULIA HALI KAKA WA DKT...
- MKUTANO WA VYAMA VILIVYOKUWA VYA UKOMBOZI KUSINI M...
- VIONGOZI WA VYAMA VYA UKOMBOZI WATEMBELEA IHEMI
- NAIBU KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI MH. MWIGU...
- WAALIKWA WA MKUTANO WA SITA WA MAKATIBU WAKUU WA ...
- MAMA ASHA MSHUA ZIARANI NAMTUMBO
- UVCCM ZANZIBAR WAPONGEZWA KWA KUIMARISHA MICHEZO
- RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA RASMI KIWANDA CHA BAKH...
- MWENYEKITI WA CUF WILAYA YA MAFIA AMFAGILIA JK
- RAIS KIKWETE AZINDUA GATI LA MAFIA
- MAGAZETI LEO JUMATANO, OKTOBA 2, 2013
- CCM UINGEREZA WAANDAA MKUTANO MKUBWA OKTOBA 5, MWA...
- MTENDAJI KISHAPU, ADAIWA KUKWAPUA MAGUNIA 103 YA M...
- ZIARA YA NAIBU WAZIRI AMOS MAKALLA AFRIKA KUSINI
-
▼
October
(46)
LOVE LINKS
Powered by Blogger.