Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpokea Mweneyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete alipowasili Makao Makuu ya CCM, Jengo la White House, mjini Dodoma, kufunga mafunzo kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, jana, Oktoba 24, Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula.
Mweneyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akionyesha kuwa mwenye furaha, alipowasili ukumbini kufunga mafunzo kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, jana, Oktoba 24, 2013 mjini Dodoma. Mafunzo hayo yaliyokuwa ya siku nne yalifunguliwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
Ukumbi ukilipuka kwa mbinje, nderemo na vifijo, Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete alipowasili ukumbini, Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma kufunga mafunzo ya watendaji na viongozi wa CCM.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula, baada ya kuwasilini ukumbini na kulakiwa kwa shangwe na wahitimu wa mafunzo kwa wa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za mikoa na wilaya nchini mjini Dodoma, jana, Oktoba 24, 2013.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa hapa nchini, mjini Dodoma , jana , Oktoba 25, 2013. Kushoto ni Kinana na Kulia ni Mangula.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (kulia) akizungumza namna mafunzo hayo yalivyoandaliwa na Idara yake ya Itikadi na Uenezi na kumalizika kwa mafanikio makubwa.
Baadhi ya viongozi wa Jumuia na Sekretarieti wakiwa ukumbini
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa akitazama bango jipya la picha za wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM, baada ya mabango hayo kugawiwa kwa washiriki wa mafunzo hayo ukumbini, wakati wa kufungwa mafunzo hayo. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mwigulu Nchemba na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai.
Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi Nape Nnauye akihamasisha baada ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kifunga mafunzo hayo.
VYETI TUTAGAWA KAMA HIVI: Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akisema hivyo huku akimshika mkono mmoja wa washiriki wa mafunzo hayo, Bashir Nkoromo, kabla ya kuanza kugawa vyeti kwa wahitimu wa mafunzo kwa watendaji na viongozi wa CCM, ngazi za wilaya na mikoa, jana Oktoba 24, 2013, mjini Dodoma. Nkoromo ambaye ni Mpigapicha Mwandamizi wa Uhuru Publications Ltd, wachapishaji wa magazeti ya Uhuru,Mzalendo na Burudani, ni Katibu Msaidizi katika Kitengo cha Mawasiliano na Umma, Idara ya Itikadi na Uenezi, CCM, Taifa.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi cheti Mwenyekiti wa Makatibu wa CCM wa mikoa, Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro, Steven Kazidi, alipofunga mafunzo ya utendaji bora kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa., jana, Oktoba, 24, Makao Makuu ya CCM mjini Dopdoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula na Watatu ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdultahman Kinana. Zaidi ya makatibu wa CCM wa mkoa wa wilaya zote nchini wamehitimu mafunzo hayo. Imetayarishwa na theNkoromo Blog
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
-
▼
2013
(633)
-
▼
October
(46)
- DIWANI MALEMBEKA AIPIGA JEKI TIMU YA SOKA YA UHURU FM
- BALOZI SEPETU AZIKWA ZANZIBAR LEO
- MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO KUJADILI MTANDAO ...
- CCM YAWAPONGEZA MALINZI, TENGA
- MAKADA WA CCM WANG'ARA KATIKA MAHAFALI YA 25 YA CH...
- MWENYEKITI WA CCM, RAIS JAKAYA KIKWETE AFUNGA MAFU...
- JK AWASILI MJINI DODOMA JIONI HII, KUFUNGA SEMINA ...
- SEMINA YA CCM KWA WATENDAJI NA VIONGOZI WAKE NGAZI...
- KAMANDA MSTAAFU WA POLISI AFARIKI DUNIA LEO
- JK AMLILIA DIWANI KATA YA NJOMBEA MAREHEMU LUPYANA
- SEMINA YA MAFUNZO KWA WATENDAJI NA VIONGOZI WA CCM...
- NAPE WAPIGA MSASA WATENDAJI NA VIONGOZI WA CCM UMU...
- SEMINA YA MAFUNZO KWA WATENDAJI NA VIONGOZI WA CCM...
- MANGULA AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA...
- ZIARA YA PINDA WA UJUMBE WAKE CHINA, LEO WAWASILI ...
- RAIS KIKWETE ALIPOZINDUA RASMI MKOA WA NJOMBEA
- SAKATA LA RUZUKU: NAPE ASEMA CCM IMEKAGULIWA NA HA...
- MBUNGE MAJI MAREFU ANAPODAIWA KUSAKWA KWA WIZI WA ...
- CCM YAMSHUKIA ZITTO KABWE
- CCM BLOG INAKUTAKIA EID EL HAJJ NJEMA
- KATIBA MPYA: RAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI WA V...
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA SIKU ...
- UFUNGUZI TAWI LA CCM KIJITONYAMA WAFANYKIKA LEO
- MAREKANI WAMLILIA TAMBALIZENI
- TUNAKUKUMBUKA DAIMA
- NAPE ASHIRIKI MAZISHI YA TAMBALIZENI
- UFOO SARO APIGWA RISASI DAR ES SALAAM
- SALUM TAMBALIZENI AMEFARIKI DUNIA
- KUMBUKUMBU MIAKA 14 YA KIFO CHA MWALIMU NYERERE
- MWENYEKITI WA CCM, RAIS JAKAYA KIKWETE ALA CHAKULA...
- ZANU-PF: WAAFRIKA VIPUUZENI VYAMA VYA UPINZANI
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA KITAI...
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMJULIA HALI KAKA WA DKT...
- MKUTANO WA VYAMA VILIVYOKUWA VYA UKOMBOZI KUSINI M...
- VIONGOZI WA VYAMA VYA UKOMBOZI WATEMBELEA IHEMI
- NAIBU KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI MH. MWIGU...
- WAALIKWA WA MKUTANO WA SITA WA MAKATIBU WAKUU WA ...
- MAMA ASHA MSHUA ZIARANI NAMTUMBO
- UVCCM ZANZIBAR WAPONGEZWA KWA KUIMARISHA MICHEZO
- RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA RASMI KIWANDA CHA BAKH...
- MWENYEKITI WA CUF WILAYA YA MAFIA AMFAGILIA JK
- RAIS KIKWETE AZINDUA GATI LA MAFIA
- MAGAZETI LEO JUMATANO, OKTOBA 2, 2013
- CCM UINGEREZA WAANDAA MKUTANO MKUBWA OKTOBA 5, MWA...
- MTENDAJI KISHAPU, ADAIWA KUKWAPUA MAGUNIA 103 YA M...
- ZIARA YA NAIBU WAZIRI AMOS MAKALLA AFRIKA KUSINI
-
▼
October
(46)
LOVE LINKS
Powered by Blogger.