Rais Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakipokea taarifa fupi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mufindi Tea Company Group Bwana Noel Smith, kuhusu kukamilika kwa kiwanda cha chai walichokijenga katika kijiji cha Ikanga kilichoko katika Kata ya Lupembe, wilayani Njombe ambacho Rais Kikwete alikizindua rasmi tarehe 18.10.2013.
Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiangalia majani ya chai yaliyofikishwa katika kiwanda cha chai cha Ikanga kwa ajili ya kusindikwa. Kiwanda hicho kilizinduliwa rasmi na Rais Kikwete tarehe 18.10.2013.
Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiangalia chai iliyosindikwa na kufikia hatua ya mwisho kabla ya kufungwa kwenye pakiti huku wakipata maelezo kutoka kwa Meneja Msaidizi wa Kiwanda cha chai cha Ikanga Bwana Flowin Msigwa
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwasalimia mamia ya wananchi wa kijiji cha Wanginyi kilichoko katika kata ya Lupembe, wilayani Njombe kwa kuwapungia mikono mara baada ya Mama Salma na Rais Kikwete kuwasiri kijijini hapo kwa ajili ya mkutano wa hadhara tarehe 18.10.20
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiangalia bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na akinamama wa kikundi cha Jitegemee wakati wa maonyesho yaliyofanyika mjono Njombe kwa ajili ya sherehe za uzinduzi rasmi wa mkoa wa Njombe huku kiongozi wa kikundi hicho Mama Leokadia Kaduma akimfafanulia juu ya bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na wanakikundi hao
Chipukizi wa Mkoa wa Njombe wakicheza halaiki wakati wa sherehe ya ufinguzi rasmi wa Mkoa wa Njombe zilizofanyika tarehe 18.10.2013.
Chipukizi wa Mkoa wa Njombe wakicheza halaiki wakati wa sherehe ya ufinguzi rasmi wa Mkoa wa Njombe zilizofanyika tarehe 18.10.2013.
Rais Jakaya Kikwete akibonyeza king’ora huku wazee wawili wa kimila wakiwa wamewashika njiwa na baadare kuwarusha hewani kuashiria kuzinduliwa rasmi kwa mkoa wa Njombe katika sherehe zilizofanyika mjini Njombe tarehe 18.10.2013.
Rais Jakaya Kikwete akibonyeza king’ora huku wazee wawili wa kimila wakiwa wamewashika njiwa na baadare kuwarusha hewani kuashiria kuzinduliwa rasmi kwa mkoa wa Njombe katika sherehe zilizofanyika mjini Njombe tarehe 18.10.2013.PICHA NA JOHN LUKUWI
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
-
▼
2013
(633)
-
▼
October
(46)
- DIWANI MALEMBEKA AIPIGA JEKI TIMU YA SOKA YA UHURU FM
- BALOZI SEPETU AZIKWA ZANZIBAR LEO
- MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO KUJADILI MTANDAO ...
- CCM YAWAPONGEZA MALINZI, TENGA
- MAKADA WA CCM WANG'ARA KATIKA MAHAFALI YA 25 YA CH...
- MWENYEKITI WA CCM, RAIS JAKAYA KIKWETE AFUNGA MAFU...
- JK AWASILI MJINI DODOMA JIONI HII, KUFUNGA SEMINA ...
- SEMINA YA CCM KWA WATENDAJI NA VIONGOZI WAKE NGAZI...
- KAMANDA MSTAAFU WA POLISI AFARIKI DUNIA LEO
- JK AMLILIA DIWANI KATA YA NJOMBEA MAREHEMU LUPYANA
- SEMINA YA MAFUNZO KWA WATENDAJI NA VIONGOZI WA CCM...
- NAPE WAPIGA MSASA WATENDAJI NA VIONGOZI WA CCM UMU...
- SEMINA YA MAFUNZO KWA WATENDAJI NA VIONGOZI WA CCM...
- MANGULA AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA...
- ZIARA YA PINDA WA UJUMBE WAKE CHINA, LEO WAWASILI ...
- RAIS KIKWETE ALIPOZINDUA RASMI MKOA WA NJOMBEA
- SAKATA LA RUZUKU: NAPE ASEMA CCM IMEKAGULIWA NA HA...
- MBUNGE MAJI MAREFU ANAPODAIWA KUSAKWA KWA WIZI WA ...
- CCM YAMSHUKIA ZITTO KABWE
- CCM BLOG INAKUTAKIA EID EL HAJJ NJEMA
- KATIBA MPYA: RAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI WA V...
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA SIKU ...
- UFUNGUZI TAWI LA CCM KIJITONYAMA WAFANYKIKA LEO
- MAREKANI WAMLILIA TAMBALIZENI
- TUNAKUKUMBUKA DAIMA
- NAPE ASHIRIKI MAZISHI YA TAMBALIZENI
- UFOO SARO APIGWA RISASI DAR ES SALAAM
- SALUM TAMBALIZENI AMEFARIKI DUNIA
- KUMBUKUMBU MIAKA 14 YA KIFO CHA MWALIMU NYERERE
- MWENYEKITI WA CCM, RAIS JAKAYA KIKWETE ALA CHAKULA...
- ZANU-PF: WAAFRIKA VIPUUZENI VYAMA VYA UPINZANI
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA KITAI...
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMJULIA HALI KAKA WA DKT...
- MKUTANO WA VYAMA VILIVYOKUWA VYA UKOMBOZI KUSINI M...
- VIONGOZI WA VYAMA VYA UKOMBOZI WATEMBELEA IHEMI
- NAIBU KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI MH. MWIGU...
- WAALIKWA WA MKUTANO WA SITA WA MAKATIBU WAKUU WA ...
- MAMA ASHA MSHUA ZIARANI NAMTUMBO
- UVCCM ZANZIBAR WAPONGEZWA KWA KUIMARISHA MICHEZO
- RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA RASMI KIWANDA CHA BAKH...
- MWENYEKITI WA CUF WILAYA YA MAFIA AMFAGILIA JK
- RAIS KIKWETE AZINDUA GATI LA MAFIA
- MAGAZETI LEO JUMATANO, OKTOBA 2, 2013
- CCM UINGEREZA WAANDAA MKUTANO MKUBWA OKTOBA 5, MWA...
- MTENDAJI KISHAPU, ADAIWA KUKWAPUA MAGUNIA 103 YA M...
- ZIARA YA NAIBU WAZIRI AMOS MAKALLA AFRIKA KUSINI
-
▼
October
(46)
LOVE LINKS
Powered by Blogger.