Google PlusRSS FeedEmail

JK AWASILI MJINI DODOMA JIONI HII, KUFUNGA SEMINA YA WATENDAJI NA VIONGOZI WA CCM KESHO

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akishuka kwenye ndege, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma jioni hii, kwa ajili ya kufunga semina ya mafunzo kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa inayomalizika kesho.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpokea Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete baada ya kuwasili mjini Dodoma
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akimsalimia Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma jioni hii
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye Uwanja wa Ndege mjini Dodoma baada ya kuwasili jioni hii.
 Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akimwongoza Rais Kikwete kwenda eneo la mapumziko baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa
Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete akiwasalimia wananchi waliofika kumlaki, Uwanja wa Ndege wa Dodoma jioni hii.

This entry was posted in

Leave a Reply