Baadhi ya watanzania wakimsikiliza Waziri Mkuu Mizengo Pinda wkati alipozungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania mjini Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Watanzania kwenye ubalozi wao mjini Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Chini, Luteni Jenerali Mstaafu, Abdulrahmani Shimbo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watanzania baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa mjini Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watanzania baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa mjini Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipewa mauwa wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndegea wa Shenzhen akitokea Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza baada ya kutembeleaSheko Container Teminal mjini Shenshen akiwa katika ziara ya kikazi nchini China. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)