Google PlusRSS FeedEmail

MANGULA AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CUBA

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM (Bara),Phillip Mangula,akiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba,Ana Teresia Gonzalez Fraga (kushoto) na Balozi wa Cuba nchini, Jorge Luisa Lopez Tarmo, kabla ya kuanza mazungumzo yao, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, leo. (Na Mpigapicha Wetu).
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM (Bara),Phillip Mangula,akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba,Ana Teresia Gonzalez Fraga (wapili kulia) na Balozi wa Cuba nchini, Jorge Luisa Lopez Tarmo, kabla ya kuanza mazungumzo yao, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, leo. (Na Mpigapicha Wetu).

This entry was posted in

Leave a Reply