Google PlusRSS FeedEmail

KUMBUKUMBU MIAKA 14 YA KIFO CHA MWALIMU NYERERE

 kATIBU wa NEC, Uchumi na Fedha, CCM, Ndugu Zakiah Meghji, akisaini kitabu kilichowekwa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kumbukumbu ya miaka 14 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, aliyefariki Oktoba 14, 1999
Katibu wa NEC, Oganaizesheni, Mohamed Seif Khatib, akisaini kitabu hicho.

This entry was posted in

Leave a Reply