Google PlusRSS FeedEmail

MAKADA WA CCM WANG'ARA KATIKA MAHAFALI YA 25 YA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA LEO

 Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Dk. Asha-Rose Migiro, akimpongeza Kada wa CCM, Asha Abdallah Juma, baada ya kumtunuku shahada ya pili ya Biashara ya Chuo hicho, katika mahafali ya 25, yaliyofanyika leo, Makao Makuu ya OUT, Bungo, Kibaha mkoa wa Pwani. Kushoto ni Makamnu Mkuu  wa Chuo hicho, Profesa Tolly Mbwette. Asha ambaye sasa ni Mjumbe wa NEC CCM, amewahi kuwa Wazirikatika serikali ya Mapinduzi Zanzibar na pia Katibu wa NEC, Oganaizesheni.
 Mama Asha Abdallah Juma akipongezana na Mkurugenzi wa Mawsiliano na Umma, CCM, makao makuu, Daniel Chongolo, wakati wa mahafali hayo. Chongolo ametnukiwa shahada ya kwanza ya Mawasiliano ya Umma. Katikati ni pia ni Kada wa CCM, Rachel Kyala ambaye pia ametunukiwa shahada ya Mawasiliano ya umma. Picha zaidi BOFYA HAPA

This entry was posted in

Leave a Reply