Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Mkutano wa Kitaifa wa Uzazi wa Mpango na kuzindua rasmi Kampeni ya Nyota ya Kijani, wakati wa mkutano huo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akibonyeza kitufye cha Laptop kuashiria kufungua rasmi Mkutano wa Kitaifa wa Uzazi wa Mpango na kuzindua rasmi Kampeni ya Nyota ya Kijani, wakati wa mkutano huo uliofanyika leo Oktoba 9, 2013 kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jambii, Dkt. Hussein Mwinyi. Picha na OMR
Makamu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Balozi wa Marie Stops Tanzania, Narietha Boniface, na Miss Tanzania 2013, wakati alipotembelea katika Mabanda la maonyesho la Marie Stops, alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Uzazi wa Mpango na Uzinduzi wa Kampeni ya Nyota ya Kijani, uliofanyika leo Okt. 9, 2013 kwenye Ukumbi wa Mliman City, Dar es Salaam. Picha na OMR
Mwenyekiti wa TACAIDS, Fatma Mrisho, akizungumza wakati wa mkutano huo.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Hussein Mwinyi, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi, Makamu wa Rais, kuhutubia kwenye mkutano huo.
Sehemu ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, wakati akiwahutubia kwenye Mkutano huo. Picha na OMR