Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua semina ya mafunzo ya siku nne kwa Watendaji na viongozi wa CCM ngazi za mikoa na wilaya nchini, leo katika jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo, Oktoba 21, 2013. Wapili kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mwigulu Nchemba, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (zanzibar) Vuai Ali Vuai.
Kinana akimkaribisha Dk. Shein kufungua semina hiyo ya siku nne
Mwanzoni kabisa:Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akiwasili katika ukumbini kwa ajili ya kufungua semina ya mafunzo kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za mikoa na wilaya, leo kwenye Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mwigulu Nchemba, na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa. Nyuma ya Dk. Shein ni Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi
Dk. Shein akimsalimia Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara, Mwigulu Nchemba
Kisha akamsalimia Katibu wa NEC, Irikadi na Uenezi, Nape Nnauye
Halafu Dk. Shein akaondoka Uwanja wa Ndege kwenda White House kufungua semina hiyo,
Katibu Mkuu wa UVCCM, Sixtus Mapunda akiteta jambo na mjumbe mwenzake kabla ya kuanza semina hiyo. Kushoto ni Katibu Msaidizi kutoka Idara ya Itikadi na Uenezi, makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam, Kilumbe Ng'enda
HAPO SAWA! Naibu Katibu Mkuu wa CCM inaelekea ndivyo alivyokuwa akimsapoti, Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk Asha-Rose Migiro wakati wakizungumza jambo kabla ya semina hiyo kufunguliwa rasmi na Dk. Shein Dk. Shein akiwasili ukumbini huku akisindikizwa na Kinana na Mwigulu Nchemba
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akiwasili katika ukumbini
kwa ajili ya kufungua semina ya mafunzo kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za mikoa na
wilaya, leo kwenye Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Kulia ni Naibu Katibu
Mkuu wa CCM (Bara) Mwigulu Nchemba, na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa.
kwa ajili ya kufungua semina ya mafunzo kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za mikoa na
wilaya, leo kwenye Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Kulia ni Naibu Katibu
Mkuu wa CCM (Bara) Mwigulu Nchemba, na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa.
Wajumbe wakishangilia Dk. Shein alipoingia ukumbini
Wakishangilia ukumbini |
Sekretarieti ikiwa kazini ukumbini
Wakibadilishan mawazo
NAWATAKIENI SEMINA NA MAFUNZO MEMA: Dk. Sheni akiwaaga washiriki wa semina hiyo wakati akiondoka ukumbini baada ya kuifungua.