Google PlusRSS FeedEmail

ZIARA YA NAIBU WAZIRI AMOS MAKALLA AFRIKA KUSINI

 Naibu Waziri wa Vijana, Utamaduni na Michezo,  Ammos Makalla akiangalia mandhari ya mji wa Pretoria katika jengo la Union, kulia ni mwenyeji wake Naibu waziri ofisi ya Rais Uratibu, Bapela
 Ndugu Makalla akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kkusin Ndugu Radhia Msuya
Viongozi wa Taasisi ya Vijana Afrika Kusini, wakimsikiliza Ndugu Amos Makalla mjini Pretoria

This entry was posted in

Leave a Reply