Google PlusRSS FeedEmail

GODFREY MGIMWA AOMBA KURA KIJIJINI KWAO LEO, SHAMRASHAMRA NA NDEREMO VYATANDA

 Bibi Consolata Semgovano ambaye ni mama mzazi wa aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga, Iringa Vijijini, Marehemu Dk. William Mgimwa, akisalimia mjukuu wake, mgombea wa ubunge wa CCM, katika jimbo hilo , Godfrey Mgimwa, mgombea huyo alipofanya mkutano wa kampeni Kijijini kwao Magunga, leo.
 Bibi Consolata Semgovano akimuombea kila la kheri mjukuu wake, Godfrey Mgimwa katika kuwania kiti cha ubunge wa Kalenga, Godfrey alipofika kijijini kwao Magunga
 Godfrey Mgimwa katika shamrashamra kijijini kwao, Makongati.alipofika kwenye mkutano wake wa kampeni kuomba kura
 Kinamama wa Kijiji cha Makongati, Kata ya maboga, wakishangilia kumpokea Godfrey Mgimwa alipowasili kufanya mkutano wa kampeni.
 Godfrey Mgimwa akiingia kijijini kwao, Magunga, Kata ya Maboga, kufanya mkutano wa kampeni
 Godfrey Mgimwa akihutubia kuomba kura Kijijini kwao
 Mgimwa akiserebuka na wananchi baada ya kuhutubia
 Msanii Dokii akiwa na mgombea wa CCM jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa katika kijiji hicho
Wananchi wakiahidi kumpa kura Godfrey Mgimwa: Picha zote na Bashir Nkoromo wa CCM Blog

This entry was posted in

Leave a Reply