Google PlusRSS FeedEmail

SALAM ZA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KUTOKA NGOMA AFRICA BAND

Kwa heshima kubwa na unyenyekevu,bendi ya muziki wa dansi  "Ngoma Africa Band" yenye makao nchini Ujerumani,inatoa salam maalumu za kuwapongeza,

Mama zetu,Dada zetu,Shangazi zetu akina mama wote katika kusherehekea siku
ya WANAWAKE duniani, salam hizi maalumu kutoka kwa watoto wenu Ngoma Africa band zina wito kwa walimwengu wote kwa usemi huu "HAKUNA MTAKATIFU au MTUKUFU hapa duniani hasiyezaliwa na MWANAMKE (Mama) " 

Siku ya " WANAWAKE" oyeeee! Oyeeeee!
sikiliza muziki na burudani at www.ngoma-africa.com
booking at ngoma4u@gmail.com or contact@ngoma-africa.com

This entry was posted in

Leave a Reply