Google PlusRSS FeedEmail

SWAGA ZA LEO KWENYE MKUTANO WA TOSAMAGANGA NA KALENGA


Mwananchi akiwa amepaki baiskeli yake yenye bendera ya Chama Cha Mapinduzi katika kitongoji cha Tosamaganga wakati wa mkutano wa hadhara wa kumnadi mgombea ubunge kupitia CCM Ndugu Godfery Mgimwa.

 Dereva wa boda boda Ndugu Njunguli Mwakasege akiwa amepozi kwenye pikipiki yake wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni za mgombea ubunge kupitia CCM zilizofanyika Tosamaganga.
 Dada akiwa amependeza kimtoko wa CCM
 Mama akifurahi baada ya kusikia sera nzuri za viongozi wa CCM wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Tosamaganga.
 Shakira Kiwanga Mwenyekiti wa UWT Iringa vijijini akiwa ametulia kufuatilia hotuba mbali mbali kutoka kwa viongozi wa CCM kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Tosamaganga.
 Wana CCM wakifuatilia mkutano kwa makini.
Kila mwenye uwezo wa kuchukua tukio picha na video alikuwa huru kufanya hivyo kwani mkutano wa CCM huwa ni burudani tosha kwa wana CCM

This entry was posted in

Leave a Reply