Google PlusRSS FeedEmail

RIDHIWANI AENDELEA NA KAMPENI BWILINGU

 Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akihutubia wakazi wa kijiji cha Matuli Kata ya Bwilingu na kuwaambia CCM ni Chama pekee kinachoweza kuahidi na kutekeleza yale yalioahidiwa.
 Mgombea wa Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia tiketi ya CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Vijana CCM Ndugu Martine Shigela  wakati wa mkutano wa kampeni za CCM kijiji cha Matuli kata ya Bwilingu.
 Mgombea Ubunge jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akisalimiana na wakina mama wa kimasai waliokuja kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni kijiji cha Matuli.
 Mjumbe wa Halmshauri  Kuu wa CCM Taifa Ndugu Ridhiwani Kikwete akipandisha bendera baada ya kufungua shina la wakereketwa  la Msimamo.
 Msanii maarufu Dokiii akiwa kwenye picha ya pamoja na Wakina Mama wa Kimasai wakati wa mkutano wa kampeni za Ubunge kupitia CCM kwenye kijiji cha Matuli
 Msanii Hafsa Kizinja akitumbuiza huku mgombea wa Ubunge CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete kijiji cha Matuli.



This entry was posted in

Leave a Reply