Google PlusRSS FeedEmail

IKULU YAKANUSHA HABARI ZA GAZETI LA MWANANCHI YA RAIS KIKWETE KUMTEMBELEA MFUNGWA WA EPA BWANA MARANDA MUHIMBILI


Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI) katika  Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jana (Jumamosi) kuwajulia hali wanahabari wawili – Ndugu Salum Mkambala wa Channel Ten (juu) na chini Ndugu Margaret Chambili wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

This entry was posted in

Leave a Reply