Google PlusRSS FeedEmail

KATIBU MKUU WA CCM, AKABIDHI TREKTA KWA WAKULIMA WA KWADELO,KONDOA


KATIBU Mkuu wa CCM, Wilson Mukama  akimkabidhi trekta Diwani wa  Kata ya Kwadelo, wilaya ya Kondoa mkoa wa Dodoma, Alhaj  Omary Kariati, leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Trekta hiyo ambayo imenunuliwa kwa bei nafuu kutoka Suma JKT, ni kwa ajili ya chama cha wakulima, wa Kata hiyo, kupitia Chama Cha  Maendeleo ya  Kata hiyo (KWDC).
Diwani huyo akilijaribu treka mbele ya Mukama (kushoto)
Katibu Mkuu wa CCM , Wilson Mukama akizungumza baada ya kukabidhi trekta hiyo.  Picha: Bashir Nkoromo

This entry was posted in

Leave a Reply