Google PlusRSS FeedEmail

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe. Stephen Wassira afiwa na Mama yake Mzazi, Marehemu Bi Esther Mgaya Mankaba

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwa mama wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe. Stephen Wassira (kushoto) , Marehemu Esther Mgaya Mankaba, leo nyumbani kwa Mhe Wassira jijini Dar es salaam Juni 29, 2012. Baada ya heshima za mwisho mwili wa marehemu utasafirishwa kuelekea wilayani Bunda kwa mazishi.

   Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete, Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Jaji Joseph Sinde Waqrioba, Waziri wa Kazi na Ajira Mhe Gaudencia Kabaka, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCMNape Nnauye, na wanafamilia wa wafiwa  wakitoa heshima za mwisho kwa mama wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe. Stephen Wassira (kushoto) , Marehemu Esther Mgaya Mankaba

This entry was posted in

Leave a Reply