Google PlusRSS FeedEmail

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete Afungua Hosteli Bagamoyo.

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa kwa shangwe alipowasili katika ukumbi wa mikutano kwenye sherehe za "Holy Ghost Congregation 20th General Chapter katika hosteli ya Misheni ya Kikatoliki ya Stella Maris leo Juni 29. 2012 huko Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza kama Mgeni Rasmi  kwenye sherehe za "Holy Ghost Congregation 20th General Chapter katika hosteli ya Misheni ya Kikatoliki ya Stella Maris leo Juni 29. 2012 huko Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wenyeji wake kwenye sherehe za "Holy Ghost Congregation 20th General Chapter katika hosteli ya Misheni ya Kikatoliki ya Stella Maris aliyoizindua leo Juni 29. 2012 huko Bagamoyo, 
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na baadhi ya wanafunzi wa kidato cha sita wa Marian Girls Secondary school kwenye sherehe za "Holy Ghost Congregation 20th General Chapter katika hosteli ya Misheni ya Kikatoliki ya Stella Maris.

This entry was posted in

Leave a Reply