Google PlusRSS FeedEmail

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi Ahimiza Vijana ndani ya CCM na Jumuiya Zake Kuendelea Kutunza Amani.

Mjumbe wa kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Kaskazini B Mama Asha Suleiman Iddi akisisitiza jambo wakati akiufungua Mkutano wa Umoja wa Wapanda Mapiki Piki wa Wilaya hiyo hapo Ukumbi wa CCM Jimbo la Kitope uliopo Kinduni.

Wajumbe wa Umoja wa Wapanda Mapiki Piki wa Wilaya ya Kaskazini “B” wakifuatilia kwa makini hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wao iliyotolewa na Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya hiyo ambaye pia ni Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi hayupo pichani. Ufunguzi huo umefanyika katika Ofisi ya CCM ya Jimbo la Kitope iliyopo Kinduni Wilaya ya Kaskazini B.
KWA TAARIFA KAMILI BOFYA HAPA

This entry was posted in

Leave a Reply