Google PlusRSS FeedEmail

RAIS KIKWETE ATEMBELEA SHAMBA LA MFANO KIJIJI CHA CHIPOKELO BAHI MKOANI DODOMA

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akikagua  shamba la nyanya  na mazao mengine ya mboga pamoja na mizabibu katika shamba linalomilikiwa na kampuni ya kilimo ya Tendaji Trade, lililopo kijiji cha Chikopelo,wilaya ya Bahi, Mkoani Dodoma  . Kushoto ni mmoja wa wamiliki wa Shamba hilo Bwana Alon Hoven, anayeshirikiana na Bwana Dunstan Mrutu (hayupo pichani). Shamba hilo linamwagiliwa kwa kutumia teknolojia ya  matone (Drip irrigation system)

Mmoja wa Wamiliki wa Shamba la Mboga katika kijiji cha Chikopelo Bwana Alon Hoven, kimwonesha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, baadhi ya mazao yanayozalishwa kwa kutumia mbegu bora pamoja na teknolojia ya ya umwagiliaji wa matone wakati Rais alipotembelea shamba hilo katika kijiji cha Chikopelo, wilayani Bahi,mkoani  Dodoma leo asubuhi.Shamba hilo lenye ukubwa wa hekari mia moja linamilikiwa na kampuni ya kilimo ya Tendaji Trade.


This entry was posted in

Leave a Reply