Google PlusRSS FeedEmail

RAIS KIKWETE AMPOKEA RAIS WA JAMHURI YA KIARABU YA SAHRAWI MHE MOHAMED ABDELAZIZ LEO.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Sahrawi  Mohamed Abdelaziz wakipewa Heshima za kijeshi baada ya kumpokea jioni hii June 24
katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.

PIcha na IKULU

This entry was posted in

Leave a Reply