Ndege aina ya Boeing 777 ya Malaysia Airlines ikiruka kutoka Roissy-Charles de Gaulle Airport nchini Ufaransa mwaka 2011. Photo Credits: PressTv |
Mtandao wa Usalama wa safari za Anga ama Aviation Safety Networkilitoa orodha ya ndege zilizopotea tangu kumalizika kwa vita kuu ya pili ya dunia.