Mwananchi akiwa amepaki baiskeli yake yenye bendera ya Chama Cha Mapinduzi katika kitongoji cha Tosamaganga wakati wa mkutano wa hadhara wa kumnadi mgombea ubunge kupitia CCM Ndugu Godfery Mgimwa.
Dada akiwa amependeza kimtoko wa CCM
Mama akifurahi baada ya kusikia sera nzuri za viongozi wa CCM wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Tosamaganga.
Shakira Kiwanga Mwenyekiti wa UWT Iringa vijijini akiwa ametulia kufuatilia hotuba mbali mbali kutoka kwa viongozi wa CCM kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Tosamaganga.
Wana CCM wakifuatilia mkutano kwa makini.
Kila mwenye uwezo wa kuchukua tukio picha na video alikuwa huru kufanya hivyo kwani mkutano wa CCM huwa ni burudani tosha kwa wana CCM