Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji cha Kikwazu, Mussa Yahaya kuhusu shule ya msingi Kikwazu iliezuliwa paa na kimbunga mwanzoni mwa mwaka huu na kubakisha darasa moja tu linalotumika.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji cha Kikwazu, Mussa Yahaya kuhusu shule ya msingi Kikwwazu iliyong'olewa paa na kimbunga mwanzoni mwa mwaka huu na kubakisha darasa moja tu linalotumika.
Shule ya Msingi Kwazu ilivyobaki baada ya paa kuezuliwa na upepo mkali
Ridhiwani Kikwete akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Kikwazu kata ya Kimanga wakati wa mkutano wake wa kampeni za ubunge kuwania Ubunge jimbo la Chalinze, leo. Picha zote na Adam Mzee wa CCM Blog