Google PlusRSS FeedEmail

KINANA AINGIA KWA KISHINDO KALENGA LEO, AMNADI MGIMWA KWA MAMIA YA WANANCHI WA MAGULILWA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimnadi mgombea ubunge jimbo la Kalenga kwa tiketi ya CCM, Godfrey Mgimwa, katika mkutano wa kampeni uliohudhuriwa na maelfu ya wananchi katika Kijiji cha Magulilwa, jioni hii.
 Kinana akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mwigulu Nchemba kabla ya kumnadi Mgimwa  kwenye mkutano huo leo jioni
 Maelfu ya wananchi wa Magulilwa wakinyoosha mikono kuahidi kumchagua Mgimwa, Kinana akipohutubia mkutano wa kampeni kwenye kijiji hicho leo jioni
 "Rahis kusema, Vigumu kutenda, CCM inatenda wapinzani wanasema tu chochote hata uongo kwa sababu kusema ni rahisi, achaneni nao", akisisitiza Kinana wakati akihutubia wananchi wa Kijiji cha maguliwa jioni hii kumnadi Mgimwa.
 Kinana akiwasalimia kwanza wananchi waliofurika kwenye mkutano huo, huku Mwigulu(kushoto) akimsikiliza baada ya kumkaribisha jukwaani Kinana
 Mwigulu akihutubia mkutano huo kabla ya kumkaribisha Kinana
 Maelfu ya wananchi wakimsikiliza Mwigulu kwenye mkutano huo.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu akishauriana jambo na Katibu wa CCM mkoa huo Hasani Mtenga. Picha zote na Bashir Nkoromo wa CCM Blog

This entry was posted in

Leave a Reply