Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika Kijiji cha Mkenge, Kaya ya Fukayosi .
Ridhiwani akimsalimia Mzee Salum Khalifan baada ya mkutano wake katika kijiji cha Mkenge, Kata ya Fukayosi, leo
Mandhari kwenye mkutano wa kampeni za CCM Kijiji cha Kidomole, Kata ya Fukayosi, leo
Ridhiwani akiteta jambo na kijana wa jamii wa wafugaji baada ya mkutano wake katika kijiji cha Mkenge, kata ya Fukayosi
Ridhiwani akisalimiana na Kina mama baada ya mkutano wake katika kijiji cha Mkenge, Kata ya Fukayosi
Dokii wa kijana Omari Seseme wa kijiji cha Kidomole, Kata ya Fukayosi
7. vijana wakimsangilia Riz baada ya mkutano wake wa kampeni katika Kijiji cha Mkenge Kata ya Fukayosi
Othman Muchuzi wa Michuzi Media Group akizungumza na mzee wa Kijiji cha Kidomole, kaya ta Fukayosi wilayani Bagamoyo. Othman ni miongozi mwa waandishi na Bloggers walioko kwenye kampeni za Ridhiwani Kikwete kuwania jimbo la Chalinze. Picha zote na Bashir Nkoromo wa CCM Blog