Google PlusRSS FeedEmail

CCM YATIKISA LEO KATIKA KAMPENI ZAKE ZA KALENGA KATIKA VIJIJI VYA TANANGOZI, WENDE NA SADANI

 Wananchi wakimshangilia mgombea wa CCM, katika uchaguzi mdogo jimbo la kalenga, Godfrey Mgimwa, alipohutubia mkutano wa kampeni katika kijiji cha Sadani, Kata ya Mseke, leo Machi 9, 2014.
 Mgimwa akihutubia katika kijiji cha Sadani
 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa,Joyce Msambatavangu, akihutubia mkutano wa kampeni katika Kijiji cha  Sadani
 Wananchi wakimbeba Mgimwa kumpeleka jukwaani kuhutubia mkutano wa kampeni katika kijiji cha  Sadani
 Mgimwa akihutubia kijiji cha Sadani, Kata ya Mseke jimbo la Kalenga
  Wananchi wakimshangilia Mgimwa wakati akinadiwa na Mwenyetkiti wa CCM mkoa wa Iringa, Joyce Msambatavangu, katika Kijiji cha Tanangozi.
 Mgimwa akiwa amebebwa na wananchi baada ya mkutano wake Kijiji cha Tanangozi, kata ya Mseke
 Kijana akiwa amembeba Mgimwa kumpelekea kwenye gari baada ya mkutano katika kijiji cha Wende uliofanyika wakati mvua inanyesha.
 Shangwe na hohi hoi wakati wakati Mgimwa akipowasili Kijiji cha Tanangozi kufanya mkutano wa kampeni
 Wananchi wa kijiji cha Sadan wakifuatilia kwa makini Mgimwa alipohutubia ktk kijiji hicho
 Mgimwa akiwapungia mkono wananchi  alipokuwa wakiondoka katika kijiji cha Wende baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara.
Mwananchi wa Kijiji cga Msese akisema CCM dole tupu

This entry was posted in

Leave a Reply