KINANA ATUA SUMBAWANGA LEO KUANZA ZIARA YA SIKU 21 MIKOA YA RUKWA, KATAVI NA KIGOMA
Mar 30, 2014
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akishuka kwenye Ndege, Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga baada ya kuwasili leo kwa ajili ya kuanza ziara ya siku 21, katika mikoa ya Rukwa, Katavi na Kigoma
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Rukwa, Hypolitus Matete, akimlaki Kinana (kulia) Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga, leo. Kushoto ni Katibu wa CCM wa mkoa, Lahel Ndegeleke
Chipukizi wa CCM, Sharifa Tamim akimvisha skavu Kinana Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga
Kinana akipita katika paredi la Chipukizi baada ya kulakiwa Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga
Kinana akiwasalimia viongozi mbalimbali Uwanja wa Ndege wa Sumbawanja, anayesalimia (kushoto) ni Mjumbe wa NEC, Ali Karume
Kinana akimsalimia Mwenyekiti wa CCM Sumbawanga mjini, Emmanuel Kilindu, baada ya kuwasili Uwanja wa Sumbawanga, Kati ni Mzee wa Chama, Clisant Msindakaya
Kinana akisalimia wananchi Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga
Kinana na Karume wakiaga wananchi katika Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga
Kinana na Karume wakifurahia ngoma, Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga
Kinana akiwaaga wananchi waliompokea Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga
Kinana akiwasili kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Rukwa kuzungumza na Kamati ya Siasa ya mkoa
Kinana akifurahia jambo na Mzee wa Chama, Chrisant Mzindakaya nje ya Ofisi ya CCM mkoa wa Rukwa. Picha zote na Bashir Nkoromo wa theNkoromo Blog