Mgombea wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, wakiwapungia mikono wananchi walipowasili kwenye mkutano wa hadhara katika kijiji cha Ubena Zomozi, leo
Kinana na Ridhiwani wakizindua shina la wakereketwa wa UVCCM la wauza korosho, Ubena Zomozi
Kinana na Ridhiwani wakizindua shina la wakereketwa wa UVCCM la wauza korosho, Ubena Zomozi
Vijana wa kikundi cha wauza korosho, Ubena Zomozi, wakiserebuka wakati wakimsubiri Kinana kuzindua shina lao la wakereketwa wa CCM leo
Kinana akizindua shila la wakereketwa wa CCM waendesha bodaboda, Ubena Zomozi (kushoto) ni Ridhiwani
Kinana akipokea risala kutoka kwa Kiongozi wa Umoja wa waendesha Bodaboda, baada ya kuzindua shina lao Ubena Zomozi
Ridhiwani akihutubia wakati mvua inanyesha wakati wa mkutano wa kampeni za CCM Ubena Zomozi
Mamia ya wananchi wakimsikiliza Ridhiwani, Ubena Zomozi
Kinana akimtuza msanii, Ubena Zomozi
Msanii Sam wa Ukweli akifanya manjonjo kwenye mkutano wa kampeni za CCM, Ubena Zomozi
Wakazi wa Mdaula wakifuatilia hotuba ya Ridhiwani
Vijana wakishangilia CCM, Mdaula
Shukuru Kawambwa akipeana mkono na Kinana na Ridhiwani baada ya kuhutubia, mkutano katika kijiji cha Msolwa
Kinana akizungumza na wananchi katika kijiji cha Msolwa
Vijana wakiwa wamepanda mti kumuona Ridhiwani Mdaula
Ridhiwani akisalimiana na Abiba Samweli baada ya mkutano wake wa kampeni kijiji cha Msolwa
Riz akizungumza na watoto baada ya mkutano wake wa kampeni Msolwa
Ridhiwani akiagana na mwananchi mmojawa Msolwa. Kushoto ni Kinana. Picha zote na Bashir Nkoromo wa CCM Blog