Google PlusRSS FeedEmail

KINANA AKUTANA NA MJUMBE WA FRELIMO

 Katibu Mkuu wa CCM, Kanali  Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mjumbe wa Kamisheni wa Chama cha Frelimo cha Msumbiji Jenerali  Raimundo Domingos, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu wa CCM, Kanali  Abdulrahman Kinana akizungumza na Mjumbe wa Kamisheni wa Chama cha Frelimo cha Msumbiji Jenerali  Raimundo Domingos, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam.

This entry was posted in

Leave a Reply