Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye, akimnadi kwa maelfu ya wananchi, mgombea wa Ubunge katika Uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, katika mkutano mkubwa wa kampeni uliofanyika leo katika mji mdogo wa Kiwangwa, Kata ya Kiwangwa, katika jimbo la Chalinze Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani.
Nape akihutubia kabla ya kumnadi Ridhiwani kwenye mkutano huo wa Kiwangwa
Nape na Ridhiwani wakiselebuka nyimbo za hamasa jukwaani kwenye mkutano huo wa CCm katika mji mdogo wa Kiwangwa
Maelfu ya wananchi wakimsikiliza Katibu wa CCM mkoa wa Mtwara Shaibu Akwilombe kwenye mkutano huo wa KIwangwa
Msanii wa Bongo fleva, Sam wa Ukweli akitumbuiza kwenye mkutano huo wa Kiwangwa
Sam wa Ukweli akiwa amempandisha bibi yake jukwaani kwenye mkutano huo wa Kiwangwa
Msanii Dokii akiwaimbisha wananchi alipopata fursa ya kutumbuiza kwenye mkutano huo wa Kiwangwa
Dokii akionyesha machejo na mmoja wa wananchi waliokuwa kwenye mkutano huo uliofanyika mji mdogo wa Kiwanga.
Wananchi waliohamasika wakiishangilia CCM kwa nguvu zao zote kwenye mkutano huo wa Kiwangwa
Watu wakitumia njia mbalimbali kuhakikisha wanaona kilichokuwa kikjifanyika kwenye mkutano huo wa Kiwangwa
Pikipiki zilizosindikiza msafara wa Ridhiwani kuingia mji mdogo wa Kiwangwa
Nape akimwelekeza jambo Ridhiwani katika mkutano huo wa Kiwangwa
Ridhiwani akizungumzai na Bibii Anazina Mrisho Mfaume wa kijiji cha Msinune kata ya Kiwangwa, Bagamoyo, jimbo la Chalinze
Ridhiwani akizungumza na Bibi Anazina Mrisho Mfaume wa kijiji cha Msinune ya Kiwangwa, Bagamoyo, jimbo la Chalinze.
Kijana wa Kijiji cha Msinune akimpiga msasa Ridhiwani
Ridhiwani akiondoka na viongozi kwenye Kijiji cha Msinune katika kata hiyo ya Kiwanga
Mtoto Shafii Sihaba (7), wa Kijiji cha Msinune akiwaonyesha machejo waandishi wa habari waliohudhuria mkutano wa Rdhiwani uliofanyika kwenye kijiji hicho
Ridhiwani akisalimia Wazee wa Mwidu, kata ya Kiwangwa Bagamoyo jimbo la Chalinze
Ridhiwani akipewa uhsuri na Bibi wa Kijiji cha Mweetemo, baada ya mkutano wake wa kuomba kura katika kijiji hicho leo