Google PlusRSS FeedEmail

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA VUAMA VYA SIASA VINAVYOSHIRIKI UCHAGUZI MDOGO KALENGA

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Damian Lubuva (kulia) akishauriana jambo na jopo la wajumbe wa tume hiyo, wakati wakisubiri kuzungumza na wawakilishi wa vyama vinavyoshiriki kinyang'anyiro cha uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini. Wengine ni Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar, Hamad Mahmoud Hamid (kushoto) na Wajumbe, Jaji Mstaafu John Mkwawa na Profesa Amon Chaligha. Uchaguzi katika jimbo hilo utafanyika Machi 16, mwaka huu

This entry was posted in

Leave a Reply