CCM YAONGOZA KATA 11 KATI YA 13 UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA
Posted on by Unknown
Mashabiki wa CCM wakimbeba aliyekuwa mgombea wa CCM jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini Godfrey Mgimwa, baada ya kupata matokeo ya awali ya CCM kuongoza kata 11 kati ya kata zote13 katika matokeo ya awali yasiyo rasmi ya uchaguzi uliofanyika leo. Shamrashamra hizo zilifanyika Ofisi ya CCM mkoa wa Iringa
Mashabiki wa CCM wakimwayamwaya kwa furaha baada ya kupata matokeo hayo ya awali