Google PlusRSS FeedEmail

MKE WA DK. SLAA ANASWA KWA TUHUMA ZA KUGAWA RUSHWA KWA WAPIGAKURA KALENGA

 Mbunge wa Viti Maalum Chadema, Rose Kamili, ambaye pia ni mke wa Katibu Mkuu wa chama hicho Dk. Wilbrod Slaa, akiwa chini ya ulinzi wa polisi baada ya kukamatwa kwa madai ya kukutwa akigawa rushwa kwa wapigakura leo jioni katika Kijiji cha Kitawaya, Kata ya Luhota, wakati ikiwa ni siku ya mwisho kabla ya kufanyika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga kesho. Hadi tunakwenda mitamboni Rose alikuwa bado anashikiliwa Kituo Kikuu cha Polisi mkoa wa Iringa.
 Rose akipandishwa kwenye karandinga la Polisi
Rose akipandishwa kwenye karandinga la Polisi

This entry was posted in

Leave a Reply