Google PlusRSS FeedEmail

KINANA ALIVYOITEKA URAMBO, ATAWAZWA KUWA CHIFU WA WANYANYEMBE, MAELFU WAHUDHURIA MKUTANO WA HADHARA VIWANJA VYA MWANANCHI SQUIRE

 Kaibu Mkuu wa CCMN, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya Wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mei 16, 2014 katika viwanja vya Mwananchi Squire mjini Urambo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi huku akijadiliana nao njia ya kuzitatua katika mkoa wa Tabora
Maelfu ya wananchi wakimsikiliza Kinana kwenye mkutano huo
 Kinana akiinuliwa baada ya kusimikwa uchifu wa Wanyamwezi kabla ya kuhutubia mkutano huo
Kinana akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa kijadi waliomtawaza kuwa chifu wa Wanyanyembe
 Kaibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisiitiza jambo akihutubia maelfu ya Wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mei 16, 2014 katika viwanja vya Mwananchi Squire mjini Urambo, akiwa na Kinana katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi huku akijadiliana nao njia ya kuzitatua katika mkoa wa Tabora
Mbunge wa Urambo Samwel Sitta akihutubia wananchi kwenye mkutano huo
 Kinana akimvisha kofia ya usalama, Katibu wa CCM kata ya Kondamoyo, Barakabraka wakati akimkabidhi pikipiki . Jumla ya pikipiki 16 zimetolewa na Sitta na Mama Sitta
Katibu wa CCM tawi la Boma Village Fatuma Ulaya akikabidhiwa baiskeli na Kinana, ikiwa ni miongoni mwa basikeli 96 walizokabidhiwa Makatibu wa matawi kutoka kwa Samwel Sitta wakati wa mkutano huo
Makatibu wakiwa na baaiskeli zao baada ya kukabidhiwa na Kinana kwenye mkutano huo
Vijana wakiwa wamedandia kwenye lori lililokuwa limeegeshwa ili wapate kumuona vizuri Kinana kwenye mkutano huo
  Kinana akizindua mradi wa Kina mama wa mashine ya kukamua alizeti, kijiji cha Itundu wilayani Urambo akiwa katika ziara hiyo ya mkoa wa Tabora
Kinana Sitaa wakishiriki ujenzi shule ya sekondari Uyumbi, Urambo
Vijana wa Chipukizi wakimchezea paredi maalum Kinana wakati wa mapokezi eneo la Zimbili, Urambo
Kinana akipita katika Vijana wa CCM wakati wa mapokezi eneo la Zimbili, Urambo
  Kinana akilakiana kwa shangwe na Sitta wakati wa mapokezi yake katika kijiji cha Izimbili, Urambo
Madiwani kwa tiketi ya CUF, Kandola Nyanda (Kata ya Nsenda) na Kadada Mohamed kutoka Kata ya Usoke ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu, Afya na Maji katika Halmashauri ya Urambo (Wapili kushoto), wakimsalimia kwa furaha Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, wakati wa mapokezi yake yaliyofanyika Kijiji cha Izimbili Kata ya Usoke, akiingia wilaya ya Urambo kuendelea na ziara yake ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi huku akijadiliana nao njia ya kuzitatua kero hizo mkoani Tabora
Kinana na Nape wakisalimia baada ya kukagua Zahanati ya Izengabatogwile
Kinana na Nape wakisalimia sungusungu

ENDS

This entry was posted in

Leave a Reply