Google PlusRSS FeedEmail

WATANZANIA SITA WALIOPATA KAZI DUBAI KUPITIA BRAVO JOB CENTRE WAKABIDHIWA TUKETI ZA SAFARI




 Mbunge wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Wabunge Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu akitoa maelezo kabla ya Naibu waziri wa Wizara ya kazi na Ajira, Mbunge wa Segerea, Dk.Makongoro Mahanga, kukabidhi tiketi kwa Watanzania Sita (6) waliopata kazi Dubai kupitia  Kampuni ya Bravo Job Centre, jijini Dar es Salaam, jana


 Naibu waziri wa Wizara ya kazi na ajira na Mbunge wa Segerea Makongoro Mahanga akiongea  na wananchi  waliofanikiwa kupata kazi Dubai kupitia  kampuni ya Bravojobc Dar es Salaam jana ,kabla ya kuwakabidhi Tiketi hizo,ambao wikiwa wavulana wanne na wasichana wawii na mmoja anatarajiwa kuondoka Aprli 5 mwaka huu   


 Naibu waziri wa Wizara ya kazi na ajira na Mbunge wa Segerea Makongoro Mahanga akimkabidhi Tiketi mmoja wa mwananchi aliye fanikiwa kupata kazi Dubai kupitia  kampuni ya Bravojobc Dar es Salaam jana


 Naibu waziri wa Wizara ya kazi na ajira na Mbunge wa Segerea Makongoro Mahanga akimkabidhi Tiketi Mwajuma  Hamisi Kweli,   mmoja wa mwananchi aliye fanikiwa kupata kazi Dubai kupitia  kampuni ya Bravojobc  Dar es Salaamn jana

 Naibu waziri wa Wizara ya kazi na ajira na Mbunge wa Segerea Makongoro Mahanga akimkabidhi Dominatha Alex, Tiketi mmoja wa mwananchi aliye fanikiwa kupata kazi Dubai kupitia  kampuni ya Bravojob Dar es Salaam


  Mbunge wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Wabunge Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu na Naibu waziri wa Wizara ya kazi na ajira na Mbunge wa Segerea Makongoro Mahanga katika picha ya pamoja  na wananchi hao kuwakabidhi tiketi

 Picha ya pamoja na wafanyakazi wa Bravojobc na wananchi na wazazi wao. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa Ujiji Rahaa Blog

This entry was posted in

Leave a Reply