Google PlusRSS FeedEmail

WAZIRI NYALANDU AKABIDHIWA MAGARI YA KUSAIDIA KAMPENI YA KUTOKOMEZA MAJANGILI WA MAUAJI YA TEMBO

  Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nayalandu, akionyesha funguo ya moja kati ya magari matatu aina ya Land Cruiser, yenye thamani ya Sh. milioni 350, baada ya kupokea kutoka kwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Uhifadhi Wanyamapori Tanzania, Eric Pasanisi (kulia) wakati wa hafla ya makabidhiano hayo iliyofanyika leo kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro wakati wa Kongamano la Kampeni ya kudhibiti Ujangili na kukomesha mauaji dhidi ya Tembo. Kongamano hilo lililofunguliwa na Makamu wa Rais Dkt Bilal, jana limemalizika leo Mei 10, 2014.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, Abdulkarim Shah. Picha na Sufianimafoto.com
 Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nayalandu, akijaribu kuwasha moja kati ya magari matatu aina ya Land Cruiser, yenye thamani ya Sh. milioni 350, baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Uhifadhi Wanyamapori Tanzania, Eric Pasanisi, wakati wa hafla ya makabidhiano hayo iliyofanyika leo kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro wakati wa Kongamano la Kampeni ya kudhibiti Ujangili na kukomesha mauaji dhidi ya Tembo. Kongamano hilo lililofunguliwa na Makamu wa Rais Dkt Bilal, jana limemalizika leo Mei 10, 2014. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, Abdulkarim Shah. Picha na Sufianimafoto.com

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nayalandu, akisainiana mkataba wa 
makabidhiano wa magari matatu aina ya Land Cruiser, yenye thamani ya Sh. milioni 
350, na Mwenyekiti wa Taasisi ya Uhifadhi Wanyamapori Tanzania, Eric Pasanisi 
(wa pili kushoto) wakati wa hafla ya makabidhiano hayo iliyofanyika leo kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro wakati wa Kongamano la Kampeni ya kudhibiti Ujangili na kukomesha mauaji dhidi ya Tembo. Kongamano hilo lililofunguliwa na Makamu wa Rais Dkt Bilal, jana limemalizika leo Mei 10, 2014. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhri, Job Ndugai (kulia) ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mahmoud Mgimwa.Picha na Sufianimafoto.com
 Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Kampeni ya kudhibiti Ujangili  na kukomesha mauaji dhidi ya Tembo, wakiwa katika Kongamano hilo, lililomalizika leo kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro, jijini Dar Es salaam.Picha na Sufianimafoto.com
 Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Regnald Mengi, akichangia mada wakati wa Kongamano hilo, lililomalizika leo kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam. Picha na Sufianimafoto.com
Picha ya pamoja baada ya makabidhiano hayo.

This entry was posted in

Leave a Reply