Google PlusRSS FeedEmail

MULT CHOICE TANZANIA(DSTV) WAZINDUA KING'AMUZI KIPYA NA CHA KISASA AINA YA EXPLORER


 Wadau na wateja wa DSTV wakijadiliana jambo na Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo wakati wa uzinduzi wa king'amuzi chao kipya aina ya explorer
 Wageni waalikwa na wateja wa DSTV wakibadilishana mawazo ndani ya ukumbi wa Southern Sun Hotel jana kwenye uzinduzi wa king'amuzi kipya aina ya Explorer
 Edo Kumwembe akiuliza jambo kwa Meneja mahusiano wa DSTV Barouba Kambogi  wa nne kutoka kushoto jana kwenye Hotel ya Southern Sun
 Wateja na wadau wa DSTV wakiwa wanabadilishana mawazo kuhusu huduma mpya iliyoanzishwa na DSTV ya king'amuzi kipya aina ya Explorer
 Wa pili kutoka kushoto ni Meneje wa uendeshaji DSTV Bwana Ronald Shelukindo na Meneja mahusiano Barba Kambogi wakifuatilia maelekezo kutoka kwenye screen kubwa(haipo pichani)kuhusu mapinduzi yaliyofanya toka miaka ya 1950 mpaka leo kwenye teknolojia ya urushaji wa matangazo.
 Meneja uendeshaji mwenye shati ya kaki Ronald Shelukindo akifurahia jambo na Meneja uhusiano DSTV Barba Kambogi kwenye uzinduzi wa king'amuzi kipya aina ya explorer
 Meneja mahusiano wa DSTV Barba Kambogi akifafanua jambo kwa wateja wa DSTV jana
 Wateja wa DSTV wakifuatilia kwa umakini mkubwa uzinduzi wa king'amuzi kipya aina ya explorer
 Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo akifafanua utofauti wa king'amuzi hicho kipya na kile cha zamani jana Kwenye Hotel ya Southern Sun
 Wanahabari wakichukua matukio kwa umakini kabisa

 Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo akionyesha jinsi king'amuzi kipya aina ya explorer kinavyoweza kurekodi matukio tofauti na kuweza kuyaangalia baadae
 Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo akionyesha jinsi king'amuzi kipya aina ya explorer kinavyoweza kurekodi matukio tofauti na kuweza kuyaangalia baadae
 Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo akionyesha jinsi king'amuzi kipya aina ya explorer kinavyoweza kufanya kazi kwa kuchagua channeli tofauti na kuzirekodi na baade unaweza kuangalia ulichokuwa umepitwa haujakiona.
 Edo Kumwembe akiuliza Swali ili aweze kujua namna jinsi king'amuzi hicho kinaweza kufanya kazi

 Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo akisoma jina la mshindi wa droo ya kulipiwa mwezi mmoja bure wa kuangalia vipindi vya DSTV
 Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo akimkabidhi vocha mshindi wa droo ya kulipiwa mwezi mmoja bure Bi Vicky Kimaro
 Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo akichanganya majina ya washiriki wa droo ya kujishindia seti ya DSTV
 Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo na meneja Mahusiano Barba Kambogi wakimkabidhi mshindi wa droo ya set ya DSTV ungo,decoda na vifaa vyote vya kuunganishwa
Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo na Meneja mahusiano Barba Kambogi wakimkabidhi zawadi ya kingg'amuzi kipya aina ya Explorer bwana Bernad Mukasa

This entry was posted in

Leave a Reply