BENKI KUU YA TANZANIA YATOA SARAFU YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiitazama Sarafu ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar ambayo ina uzito ya g 16, baada ya kuipokea kutoka kwa Meneja wa Sarafu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Jovent Rushaka (kushoto), Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, Jan 7, 2014. Picha na OMR