Google PlusRSS FeedEmail

KCC YA UGANDA YATWAA KOMBE LA MAPINDUZI BADA YA KUICHAPA SIMBA 1-0 KATIKA FAINALI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kombe la Mapinduzi Nahodha wa Timu ya KCC ya Uganda,  Kawoya Fahad, baada ya timu hiyo kuibuka bingwa katika mchezo wa fainali Kombe la Mapinduzi, baada ya kuichapa Simba bao 1-0,  kwenye Uwanja wa Amaan Mjni Zanzibar. (Picha na Ramadhan Othman Ikulu).

This entry was posted in

Leave a Reply