IKULU, DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Jumuia ya Dawoodi Bohra katika Tanzania kufuatia kifo cha Kiongozi wa Kiroho wa Jumuia hiyo duniani, Dkt. Seydna Mohammed Burhanuddin (Pichani), ambaye amefariki dunia asubuhi ya Ijumaa, Januari 17, 2014.
Dkt. Seydna Mohammed Burhanuddin, Kiongozi wa Jumuia ya Dawoodi Bohra kwa miaka 39 iliyopita, amefariki dunia nyumbani kwake katika kasri ya Saifee Mahal, eneo la Mahabar, kusini mwa jiji la Mumbai, India, kwa ugonjwa wa moyo akiwa na umri wa miaka 102.
Katika salamu zake kwa Mwenyekiti wa Jumuia ya Dawoodi Bohra katika Tanzania, Sheikh Tayabali Sheikh Hamzabhai Patanwalla, Rais Kikwete amesema: “Nimepokea kwa huzuni na masikitiko taarifa za kifo cha Dkt. Seydna Mohammed Burhanuddin, Kiongozi wa Kiroho wa Jumuia ya Dawoodi Bohra duniani kwa miaka mingi ambacho nimejulishwa kimetokea subuhi ya leo nyumbani kwake mjini Mumbai, India.”
Rais kikwete amesema: “Seydna Mohammed Burhanuddin alikuwa kiongozi mwenye busara na kiongozi bora wa kiroho ambaye katika maisha yake yote alilenga siyo kutoa uongozi wa kiroho kwa Jumuia yake ya Dawoodi Bohra bali kuunganisha madhehebu na dini nyingine duniani kwa nia ya kuhakikisha kuwa waumini wa dini mbali mbali wanaishi kwa amani na upendo, na kwa kuvumiliana hapa duniani.”
“Nilimjua binafsi Dkt. Seydna Mohammed Burhanuddin na mara ya mwisho alipotembelea Tanzania nilipata nafasi ya kukutana na kuzungumza naye ambako nilizidi kujiridhisha kuwa huyu alikuwa ni kiongozi mwenye sifa za ziada siyo tu katika uongozi wa kidini lakini pia katika uongozi wa kijamii.”
Amesema Rais Kikwete: “Nakutumia wewe Mwenyekiti wa Jumuia ya Dawoodi Bohra nchini Sheikh Tayabali Sheikh Hamzabhai Patanwalla salamu zangu za rambirambi kuomboleza kifo cha Mzee wetu huyu. Na kupitia kwako, naomba unifikishie salamu zangu kwa wana-Jumuia nzima ya Dawoodi Bohra hapa nchini kwetu na popote duniani. Wajulishe kuwa naungana nao katika msiba huu mkubwa. Aidha, naungana nao katika kumwomba Mwenyeji Mungu, Mwingi wa Rehema, aiweke peponi roho ya Marehemu Seydna Mohammed Burhanuddin. Amina.”
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
-
▼
2014
(556)
-
▼
January
(81)
- KINANA AKUTANA NA BODA BODA WA MKOA WA MBEYA
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA WAZIRI MKUU WA...
- MAKAMU MWENYEKITI CCM (BARA) NA KATIBU MKUU WAWASI...
- RAIS JAKAYA KIKWETE AWAAPISHA WAZIRI NA MANAIBU WA...
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MAWAZIRI WA K...
- WAZIRI MKUCHIKA AELEZA SABABU ZA TANZANIA KUSHUKA ...
- KUELEKEA KILELE CHA MIAKA 37:CCM YAJIVUNIA MAFANI...
- MABASI YA MWENDO KASI YAANZA MAJARIBIO JIJINI DAR
- NAPE ATEMBELEA SOKO LA SIDO MWANJELWA MJINI MBEYA...
- MAANDALIZI YA SHEREHE ZA MIAKA 37 YA CCM YAPAMBAMOTO
- REGINALD MENGI AKUTNA NA KINANA LEO
- RAIS KIKWETE AAMRISHA JESHI KUSIMAMIA UTOAJI HUDUM...
- DK. SHEIN AMNADI RASMI MGO MBEA WA CCM JIMBO LA KI...
- MWANDISHI WA HABARI LEO KILIMANJARO, ARONLD SWAI, ...
- SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU KUSITISHA UTARATIBU WA...
- 96 WAMALIZA MAFUNZO KUPAMBANA NA MAJANGILI
- MTEMVU AKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM, KATA YA...
- DK. BILAL KATIKA HARAMBEE KUCHANGISHA FEDHA ZA UJE...
- SEKONDARI YA LOYOLA YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA KIKE
- VIKUNDI VYA VICOBA VILIVYOPO CHINI YA POVERTY FIGH...
- RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA MBUNGE WA CHALINZE...
- TANZANIAN YOUTH, DOREEN NONI AT THE WORLD ECONOMIC...
- NAPE: MAWAZIRI TULIWANYOOSHEA VIDOLE ILI HATUA MAD...
- MAZISHI YA MBUNGE WA CHALINZE SAIDI BWANAMDOGO KUM...
- AJALI ILIYOUA WANAFUNZI WANE NA KUJERUHI 47 WAKIKI...
- BRAVO YAPELEKE VIJANA WENGINE WANNE KUFANYAKAZI DUBAI
- MBUNGE WA CHALINZI SAIDI BWANAMDOGO AMEFARIKI DUNI...
- MAMIA WASHIRIKI MAZISHI YA MAMA WA MZEE YUSUFU MAK...
- RAIS JAKAYA KIKWETE AWAAPISHA LEO MAWAZIRI WAPYA
- MBUNGE WA TEMEKE ABBAS MTEMVU APATA CHAKULA CHA JI...
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA BALOZI MTEULE...
- MAMIA WAMZIKA DEUSDEDIT MTAMBALIKE
- RAIS KIKWETE ATANGAZA MABADILIKO YA BARAZA LAKE L...
- KAMPUNI YA WORLD BUZ YAELEZA NJIA MBADALA KUPUNGUZ...
- NAPE AZINDUA KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA MAGOMENI B...
- MWENYEKITI WA CCM RAIS KIKWETE AOMBOLEZA KIFO CHA ...
- RAIS KIKWETE ATEUA MATIBU TAWALA WAPYA WA MIKOA MI...
- PINDA AKAGUA MAREKEBISHO YA UKUMBI WA BUNGE KWA AJ...
- DEREVA WA BODABODA AUAWA KINYAMA TARIME-RORYA
- KALENDA YA VIKAO VYA CHAMA CHA MAPINDUZI YA MWAKA ...
- KIONGOZI WA JUMUIA YA KIROHO YA BOHRA DUNIANI AFAR...
- TAARIFA YA CAG YAMNG'OA MEYA MANISPAA YA BUKOBA, A...
- NEW YORK YAJADILI UFANISI WA SHERIA ZINAZODHIBITI ...
- MTEMVU AKABIDHI MADAWATI KWA SHULE ZOTE ZA MSINGI ...
- WAZIRI MKUU AKAGUA ENEO LA MAAFA YA MAUAJI YA WAKU...
- MBUNGE WA CHALINZE ALAZWA ICU MUHIMBILI
- RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MW...
- WAKULIMA WATESEKA NA WAUZAJI DAWA BANDIA ZA KILIMO
- WABAMBWA NA MISOKOTO 5,000 ARUSHA
- RAIS JAKAYA KIKWETE WAJULIA HALI MZEE MSUYA NA WAZ...
- KAMATI KUU YAMTEUA MAHMOUD THABIT KOMBO KUWA MGOMB...
- NJAMA ZA KUNDI LA WAASI LA M23 KUJIPANGA UPYA ZAFI...
- CHADEMA YATABIRIWA KUINGIA UCHAGUZI MKUU 2015 IKIW...
- KCC YA UGANDA YATWAA KOMBE LA MAPINDUZI BADA YA KU...
- KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MJINI ZANZIBA...
- CHADEMA, CUF WAKIMBIWA DAR
- UN RESIDENT COORDINATOR BIDS FAREWELL TO ZANZIBAR
- BALOZI WA TANZANIA MAREKANI AMTEMBELEA DEWJI
- MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YAFANA ZANZIBAR
- MTEMVU ATEMBELEA WAPIGAKURA WAKE KATA YA KILAKALA,...
- SALMIN AMOUR NA AMANI KARUME WATUNUKIWA NISHANI NA...
- RAIS KIKWETE AWAANDALIA MABALOZI SHEREHE YA KUUKAR...
- PROF ELIESANTE AMALIZA ZIARA MKOA WA PWANI
- SENSA: TEMBO WAPUNGUA KWA ASILIMIA 66 TANZANIA
- MWENYEKITI WA CCM MORO ANG'AKA OLE SENDEKA KUWA MW...
- UZINDUZI WA TAASISI YA MWAHARAKATI BIBI BINTI SAAD
- KAMATI MAALUM YA CCM YAKUTANA MJINI ZANZIBAR
- BENKI KUU YA TANZANIA YATOA SARAFU YA KUMBUKUMBU Y...
- ZITTO AIBWAGA CHADEMA MBELE YA TUNDU LISU MAHAKAMA...
- RAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA MAZISHI YA DK. MGIMWA, ...
- NDEJEMBI ASEMA SERIKALI MBILI NDIYO NGUZO PEKEE IM...
- SAKATA LA ZITTO KABWE NA UONGOZI WA CHADEMA LEO MA...
- JK: SIYO DHAMBI KUTOFAUTIANA NA MAPENDEKEZO YA TUM...
- RAIS KIKWETE NA MAKAMU WAKE WAONGOZA KUAGA MWILI W...
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASAINI KITABU CHA MAOMBO...
- MANGULA AZIDI KUWAWAKIA WANA-CCM WANAOJINADI KABLA...
- DC KANGOYE AWAFUNDA VIJANA KULETA MAGEUZI MAKUBWA ...
- ZITTO AMBWAGA TUNDULISU MAHAKAMA KUU, NI KATIKA OM...
- MWILI WA DK. MGIMWA KUWASILI DAR ES SALAAM, KESHOK...
- VIDEO YA SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA RAIS WA JAMHURI Y...
- WAZIRI WA FEDHA WILLIAM MGIMWA AFARIKI DUNIA, RAIS...
-
▼
January
(81)
LOVE LINKS
Powered by Blogger.