Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Balozi mteule wa Tanzania nchini Malaysia, Dkt. Aziz Ponary Mlima, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa ajili mazungumzo. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Balozi mteule wa Tanzania nchini Malaysia, Dkt. Aziz Ponary Mlima, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa ajili mazungumzo. Picha na OMR