Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM mjini Zanzibar ambapo alitangaza uteuzi wa Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki Ndugu Mahmoud Thabiti Kombo ,baada ya kumalizika kwa kikao cha siku moja cha Kamati Kuu ya CCM.
Ndugu Mahmoud Thabiti Kombo mgombea wa uwakilishi jimbo la Kiembesamaki aliyeteuliwa na Kamati Kuu iliyokutana mjini Zanzibar tarehe 13 Januari 2014.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Mwigulu Nchemba akimpongeza Ndugu Mahmoud Thabiti Kombo kwa kuteuliwa kuwa mgombea wa uwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki, kushoto ni Waziri wa Afya Dk.Hussein Mwinyi.