LUDOVICK UTOUH |
BUKOBA, Tanzania
Meya Wa Manispaa ya Bukoba Antory Amani amejiuzuru nafasi hiyo baada ya Waziri mkuu Mizengo Pinda kumtaka Meya huyo kujipima mwenyewe au kujiuzuru na akikaidi baraza la madiwani wachukue hatua ya kumwajibisha kwa kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye.
Hali hiyo imetokea baada ya taarifa ya Mkaguzi na Mthibiti Mkuu wa Hesabu za Serikalia Ludovick Utouh, kutoa taarifa yake leo juu ya ukaguzi...INAENDELEA>BOFYA