UTANGULIZI
Kalenda ya Vikao vya CCM ya mwaka 2014 imeandaliwa kwa mujibu wa Katiba ya Chama Cha Mapinduzi 1977, Toleo la 2012, Katika Sehemu ya Tatu ya Katiba hiyo vinaonyeshwa Vikao na Majukumu ya vikao hivyo Kikatiba. Hivyo ufanyikaji wa vikao ni wajibu wa Kikatiba katika kuimarisha uhai wa Chama na kujenga nidhamu katika utekelezaji wa shughuli za Chama.
Kalenda hii itazingatia mambo muhimu yatakayosimamiwa na Chama Cha Mapinduzi kwa mwaka 2014. Baadhi ya mambo hayo ni haya yafuatayo:-
(i) Matembezi ya Mshikamano
(ii) Uchaguzi Mkuu wa Serikali za Mitaa, mwaka 2014.
(iii) Kutathmini utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2010 hadi 2015.
KALENDA YA VIKAO VYA CCM MWAKA 2014
MWEZI | TAREHE | SHUGHULI |
JAN.01 | 03 – 04 06 – 07 08 – 10 12 15 – 16 18 – 19 21 – 22 30 31 | Mwaka Mpya. Mikutano ya Wanachama wote katika Mashina. Mikutano ya Kamati ya Siasa za Halmashauri Kuu za Matawi. Mikutano ya Kamati ya Siasa za Halmashauri Kuu za Kata/Wadi Sikukuu ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Mikutano ya Kamati za Siasa za Wilaya. Mikutano ya Halmashauri Kuu za Wilaya. Mikutano ya Kamati za Siasa za Halmashauri Kuu za Mikoa. Mkutano wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa. |
MWEZI | TAREHE | SHUGHULI |
FEB | 04 05 09 – 10 11 – 12 13 – 14 15 – 16 17 – 18 18 – 20 21 – 22 23 – 24 25 - 28 | Mikutano ya Wanachama Wote katika Mashina. Matembezi ya Mshikamano na Sherehe za CCM kutimiza miaka 37 Mikutano Maalum ya Wanachama Wote katika Matawi. Kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi. .Mikutano ya Kamati za Siasa za Halmashauri Kuu za Matawi. Mikutano ya Halmashauri Kuu za Matawi. Mikutano ya Wanachama Wote katika Matawi. Mikutano ya Kamati za Siasa za Halmashauri Kuu za Kata/Wadi. Mikutano ya Kamati za Siasa za Majimbo. Mikutano ya Halmashauri Kuu za Majimbo. Mikutano ya Kamati za Siasa za Halmashauri Kuu za Wilaya. Mikutano ya Kamati za Siasa za Halmashauri Kuu za Mikoa. Mikutano ya Halmashauri Kuu za Mikoa. · Tarehe 4/2/2014 Wanachama Wote wa CCM kupokea na kujadili utekelezaji wa Awamu ya Tatu ya Mradi wa Kuimarisha Chama katika Sherehe za kuadhimisha miaka 37 ya CCM. |
MWEZI | TAREHE | SHUGHULI |
MACHI | 01 – 02 03 – 04 05 – 06 08 - 09 11 – 12 14 – 15 17 – 18 20 – 21 | Mikutano ya Wanachama Wote katika Mashina. Mikutano ya Kamati za Siasa za Halmashauri Kuu za Matawi. Mikutano ya Kamati za Siasa za Kata/Wadi. Mikutano ya Halmashauri Kuu za Kata/Wadi. Mikutano ya Kamati za Siasa za Wilaya. Mikutano ya Kamati za Siasa za Mikoa. Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa Zanzibar. Mkutano wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa. |
MWEZI | TAREHE | SHUGHULI |
A APRIL | 01 – 02 03 – 04 05 – 06 07 09 – 10 12 – 13 15 – 16 18 – 19 21 – 22 26 28 - 29 | Mikutano ya Wanachama Wote katika Mashina. Mikutano ya Kamati za Siasa za Matawi. Mikutano (Maalum) ya Halmashauri Kuu za Matawi. · Kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2010 – 2015. Kumbukumbu ya kifo cha Sheikh Abeid Aman Karume (Karume Day). Mikutano ya Kamati za Siasa za Kata/Wadi. Mikutano (Maalum) ya Halmashauri Kuu za Kata/Wadi. · Kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya 2010 – 2015. Mikutano ya Kamati za Siasa za Majimbo. Mikutano ya Kamati za Siasa za Wilaya. Mikutano ya Halmashauri Kuu za Wilaya. Sikukuu ya Muungano. Mikutano ya Kamati za Siasa za Mikoa. |
MWEZI | TAREHE | SHUGHULI |
M MEI | 01 02 – 03 04 – 05 06 – 07 08 – 09 12 – 13 14 – 15 16 – 17 19 – 20 21 26 – 27 | Sikukuu ya Wafanyakazi. Mikutano ya Wanachama Wote katika Mashina. Mikutano ya Kamati za Siasa za Matawi. Mikutano ya Halmashauri Kuu za Matawi.. Mikutano ya Wanachama Wote katika Matawi. Mikutano ya Kamati za Siasa za Kata/Wadi. Mikutano (Maalum) ya Halmashauri Kuu za Majimbo. · Kupokea Taarifa za Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya 2010 – 2015. Mikutano ya Kamati za Siasa za Wilaya. Mikutano ya Kamati za Siasa za Mikoa. Mikutano ya Halmashauri Kuu za Mikoa. Mkutano wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa. |
MWEZI | TAREHE | SHUGHULI |
JUNI | 02 – 03 04 05 – 06 07 – 08 10 – 11 13 – 14 16 – 17 18 – 19 26 - 27 | Mikutano ya Wanachama Wote katika Mashina. Mikutano ya Mwaka ya Mashina. Mikutano ya Kamati za Siasa za Matawi. Mikutano Mikuu ya Matawi. Mikutano ya Kamati za Siasa za Kata/Wadi. Mikutano ya Halmashauri Kuu za Kata/Wadi. Mikutano ya Kamati za Siasa za Majimbo. Mikutano ya Kamati za Siasa za Wilaya. Mikutano ya Kamati za Siasa za Mikoa. |
MWEZI | TAREHE | SHUGHULI |
J JULAI | 01 – 02 04 – 05 07 08 – 09 12 – 13 15 – 16 18 – 19 20 – 21 23 – 24 26 – 27 28 - 29 | Mikutano ya Wanachama Wote katika Mashina. Mikutano ya Kamati za Siasa za Matawi. Sabasaba. Mikutano ya Kamati za Siasa za Kata/Wadi. Mikutano Mikuu ya Kata/Wadi. Mikutano ya Kamati za Siasa za Wilaya. Mikutano ya Halmashauri Kuu za Wilaya. · Kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2010 – 2015. Mikutano ya Kamati za Siasa za Mikoa. Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa Zanzibar. Mkutano wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa. Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa. |
MWEZI | TAREHE | SHUGHULI |
AGOSTI | 02 – 03 04 – 05 06 – 07 08 09 – 10 12 - 13 15 – 16 17 – 18 21 – 22 25 – 26 28 – 29 30 - 31 | Mikutano ya Wanachama Wote katika Mashina. Mikutano ya Kamati za Siasa za Matawi. Mikutano ya Halmashauri Kuu za Matawi. Nanenane. Mikutano ya Wanachama Wote katika Matawi. Mikutano ya Kamati za Siasa za Kata/Wadi. Mikutano ya Kamati za Siasa za Majimbo. Mikutano ya Halmashauri Kuu za Majimbo. Mikutano Mikuu ya Majimbo. Mikutano ya Kamati za Siasa za Wilaya. Mikutano ya Kamati za Siasa za Mikoa. Mikutano ya Halmashauri Kuu za Mikoa. |
MWEZI | TAREHE | SHUGHULI |
SS SEPT | 01 – 07 02 – 03 05 – 06 07 – 08 09 – 10 11 – 12 13 – 14 16 – 17 18 – 19 20 – 21 26 – 27 28 | Wiki ya Jumuiya ya WAZAZI. Mikutano ya Wanachama Wote katika Mashina. Mikutano ya Kamati za Siasa za Matawi. Mikutano ya Kamati za Siasa za Kata/Wadi. Mikutano ya Halmashauri Kuu za Kata/Wadi. Mikutano ya Kamati za Siasa za Wilaya. Mikutano (Maalum) ya Halmashauri Kuu za Wilaya · Kufanya uteuzi wa wagombea wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Mikutano ya Kamati za Siasa za Mikoa. Mikutano (Maalum) ya Halmashauri Kuu za Mikoa. · Kupokea taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2010 – 2015. Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa Zanzibar. Mkutano wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa. Kuanza kwa wiki ya UWT. |
MWEZI | TAREHE | SHUGHULI |
O OKT | 01 – 02 04 05 – 06 07 – 08 08 – 14 09 – 10 14 15 – 17 21 – 22 | Mikutano ya Wanachama Wote katika Mashina. Kumalizika wiki ya UWT. Mikutano ya Kamati za Siasa za Matawi. Mikutano ya Kamati za Siasa za Kata/Wadi. Wiki ya Umoja wa Vijana wa CCM. Mikutano ya Kamati za Siasa za Majimbo. Kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu J.K. Nyerere (Nyerere Day). Mikutano ya Kamati za Siasa za Wilaya. Mikutano ya Halmashauri Kuu za Wilaya. |
MWEZI | TAREHE | SHUGHULI |
NOV. | 04 – 05 06 – 07 08 – 09 11 – 12 13 – 14 17 – 18 20 – 21 24 – 25 26 – 27 29 - 30 | Mikutano ya Wanachama Wote katika Mashina. Mikutano ya Kamati za Siasa za Matawi. Mikutano ya Halmashauri Kuu za Matawi. Mikutano ya Wanachama Wote katika Matawi. Mikutano ya Kamati za Siasa za Kata/Wadi. Mikutano ya Halmashauri Kuu za Majimbo. Mikutano ya Kamati za Siasa za Wilaya. Mikutano ya Kamati za Siasa za Mikoa. Mikutano ya Halmashauri Kuu za Mikoa. Mkutano wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa. Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa. · Mkutano huo utapokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2010 – 2015. |
MWEZI | TAREHE | SHUGHULI |
DESEMBA | 01 – 03 04 – 06 09 11 – 12 15 – 16 16 – 17 19 – 20 22 – 23 29 - 30 | Mikutano ya Wanachama Wote katika Mashina. Mikutano ya Kamati za Siasa za Matawi. Sikukuu ya Uhuru na Jamhuri. Mikutano ya Kamati za Siasa za Kata/Wadi. Mikutano ya Halmashauri za Kata/Wadi. Mikutano ya Kamati za Siasa za Majimbo. Mikutano ya Kamati za Siasa za Willaya. Mikutano ya Kamati za Siasa za Mikoa. Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa Zanzibar. |