RAIS KIKWETE AAMRISHA JESHI KUSIMAMIA UTOAJI HUDUMA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO MOROGORO
Posted on by Unknown
RAIS KIKWETE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi la Ulinzi na Usalama, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete ameliamuru Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuanza mara moja kazi ya kusimamia utoaji huduma kwa watu walioathiriwa na mafuriko katika Mkoa wa Morogoro, ikiwa ni pamoja na kusimamia ujenzi wa nyumba za muda wa waathirika hao. Rais pia ameliamuru Jeshi kupeleka mashine za kusafisha maji katika makambi ambako waathirika hao wa mafuriko ya Januari 22, mwaka huu wanaishi kwa....inaendelea