PINDA AKAGUA MAREKEBISHO YA UKUMBI WA BUNGE KWA AJILI YA BUNGE LA KATIBA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua kazi ya uwekaji viti vipya katika ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo, Januari 18,2014 ikiwa ni maandalizi ya Bunge la Katiba linalotarajiwa kuanza mwezi ujao. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)